penitentiaries
Member
- Jun 15, 2015
- 73
- 9
Habari wana jf!
Moja kwa moja bila kupoteza muda napenda kutoa dukuduku langu la moyoni ambalo limekuwa likinipa wakati mgumu sana juu ya redio za hapa nchini. Tofauti na watangazaji wa BBC Idhaa ya Kiswahili au BBC Eglish, redio zetu zinakera sana.
Muda wote ni miziki tu mara bolingo, taarabu nk hadi inakera sana. Hakuna ubunifu wowote kwa hawa ndugu zetu watangazaji kama wenzao wa BBC au DW redio ambao muda mwingi wanaweka vipindi vya kuelimisha jamii.
Ushauri wangu, Serikali iendelee kumulika sekta ya habari na mawasiliano na wamiliki wa vyombo vya habari hapa nchini ili kuongeza weledi kataka utoaji wa habari na burudani.
Watangazaji wengi ni kama wamekosa UBUNIFU kama si elimu stahiki juu ya taaluma zao. Nadiliki kusema watangazaji wengi wamepitia vyuo vya uchochoroni( back door).
Sidhani kama watu wa IJMC, St.Augustine na vyuo vyenye majina wanaweza kuishia kupiga nyimbo za bolingo au sindimba,taarabu na nyinginezo saa 24.
Kuna knowledge kubwa sana ambayo inatakiwa kuwa impacted katika jamii ukiachilia mbali changamoto za mwaka wa uchaguzi, BVR, magonjwa yasiyo ambukiza, ajali, mabadiliko ya tabia ya nchi, kilimo, elimu, utamaduni, maadili na mambo mengi kadhaa wa kadhaa ambayo yanaweza kubadilisha jamii na kuleta maendeleo.
Ukifuatialia kamwe huwezi kukuta mijadala kama hiyo ktk redio stesheni zetu.Ukifungulia redio zetu jambo la kwanza ni muziki tuuuuuuuu tumechoka! igeni na kwa watangazaji wenzanu wa BBC, burudani kidogo elimu kwa sana!
Tena siku hizi kuna system unakuta kuna mtangazaji wa kiume na wa kike au jinsia moja kazi ni kubishana wao tu na kujadili upuuzi mara utasikia saa ya kupaka rangi sijui nini wanaishia kupiga umbea tu ukifuatilia kwa umakini utagundua tu kichwani ni empty vessels.
Hawana jipya bora hata vyombo vya habari viwe chini ya TBC Taifa.