Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,429 Reaction score 191,698 Oct 21, 2020 #21 Mlolongo said: Mie nimeuziwa 260k. Ngoja nione itadumu muda gani. Sema nimeachana na sabufa kwanza, pesa sina. Click to expand... Kama gari ina speaker nzuri tumia hivyo hivyo tu. Mie gari yangu speaker zake za kifala ila sina hela natumia kinyonge hivyo hivyo tu.
Mlolongo said: Mie nimeuziwa 260k. Ngoja nione itadumu muda gani. Sema nimeachana na sabufa kwanza, pesa sina. Click to expand... Kama gari ina speaker nzuri tumia hivyo hivyo tu. Mie gari yangu speaker zake za kifala ila sina hela natumia kinyonge hivyo hivyo tu.