Acha kupotosha Uma, kipindi cha vinega na Antivirus mixtape wala EFM haikuwepo. Kipindi kile ilikuwa inatumika times fm mkuu.Wenye akili zao wanajua wazi kwamba EFM inaendeshwa ki-propaganda! Mwanzoni walianza kutembeleea nyota ya Lady Jay Dee hadi pale ilipokuja kufahamika kwamba Jide hausiki!
Wakati wanatembelea nyota ya Jide ilikuwa ni kipindi cha beef kati ya Jide na Clouds... beef ambalo Sugu nae akaingia kati! Kwahiyo haters woooooote wa Clouds, wakaanza ku-support "radio ya Kamanda Jide...!" aliyekuwa anapata support toka kwa Kamanda Sugu! Siasa za EFM hapa ndipo zilianzia! Wale wanaojifanya hawasikilizi Clouds (lakini utashangaa leo mtu anahoji "yaani hadi leo unasikiliza Clouds" baada ya siku mbili tatu huyo huyo anaanzisha mada ya kuponda mtangazaji fulani katika kipindi cha Clouds... mtu unashangaa kamsikiaje wakati hasikilizi Clouds) ndio wakaanza kuwa wapiga kelele in favor EFM!!!
Inabidi uwe ni yule jamaa mmoja katika wanne ndipo uweze kuamini EFM ina wasikilizaji wengi kuliko Clouds!!!!!
We jamaa vipi? Hujui kusoma, au? Wapi nimesema suala Antivirus? Kwahiyo kusema kwenye bifu ya Jide na Clouds ambayo Mr. II akaingia kati; kwako wewe hiyo ni issue ya Vinegar na Antivirus?Acha kupotosha Uma, kipindi cha vinega na Antivirus mixtape wala EFM haikuwepo. Kipindi kile ilikuwa inatumika times fm mkuu.
Mbona unachanganya madesa, bifu ya jide na clouds imeanza mwaka gani?? Na E fm imeanza mwaka gani??We jamaa vipi? Hujui kusoma, au? Wapi nimesema suala Antivirus? Kwahiyo kusema kwenye bifu ya Jide na Clouds ambayo Mr. II akaingia kati; kwako wewe hiyo ni issue ya Vinegar na Antivirus?
Hayo mamilioni PJ atayapata wapi hata akiuza spanner mkononi yake hawezi pata hata milioni moja,wamuache PJ wa watu aendelee kupata urabu pale kwenye kibaa cha machangu wa Mikocheni B nyuma ya Clouds Mikocheni,pale anachoropoka tu kutoka studio kama anaenda dukani kumbe anakuja kamata maji ya Mchikichini ,nadhani EFM walikuwa hawampi nafasi ndio maana kaona isiwe taabu.mamia ya wasikilizaji mh!
mimi ntachojua wamemshtaki PJ kwa kuvunja mkataba.. alipe fidia mamilioni
Ni kweli Vinega enzi zile walikuwa wapo bega kwa bega na Times FM.. Na hata ile show yao iliyovuruga mapato ya Clouds , Times Fm ndio walioirusha hewani..Acha kupotosha Uma, kipindi cha vinega na Antivirus mixtape wala EFM haikuwepo. Kipindi kile ilikuwa inatumika times fm mkuu.
Hapo kwenye hizo data, wasikilizaji waliohesabiwa ni Watanzania nzima na kwa upande wa Efm ni wasikilizaji wa Dar pekee. Kwa mfano, siku ya J3 (0600-0800) kwa kuzingatia taarifa za kwanza kwenye jedwali, Clouds walikuwa na wasikilizaji 1,288,000 (Tanzania nzima) wakati Efm (Dar pekee) 570,000.Thatha mleta mada, umetumia kigezo gani kusema ulizoleta za ukweli na za wenzako zilipikwa!
Uko Simiyu?Simiyu FM mbona amjatuweke jamani kila kitu ni nyinyi wa dar es salaam tu!
Kwani GeoPoll hawawezi kutumika kama wanavyotumika TWAWEZA? Kwa namna EFM wanavyofanya kazi sioni hata sababu ya wao kupika takwimu, kwani wanakubalika sana. Simaanishi wanaweza wasipike takwimu, bali sioni sababu ni kwanini wapike. Angalizo langu ni kwamba, tusiwaamini GeoPoll kwa asilimia 100! ni lazima tujiongeze..Sio Kweli Mkuu nadhani unatakiwa kujua kuhusu Kazi za Geopoll