M matc JF-Expert Member Joined Sep 14, 2012 Posts 260 Reaction score 45 Sep 25, 2012 #1 Habari wanaJF, Naomba kuuliza km ni kweli kuwa red wine inasaidia kwenye tatizo la nguvu za kiume?
Pdidy Platinum Member Joined Nov 22, 2007 Posts 62,154 Reaction score 38,543 Sep 25, 2012 #2 Hivi condom inasaidia kupunguza ukimwi mpwa??
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 644 Sep 25, 2012 #3 Bia ilimsevu Rais wa Afrika ya kusini na maambikuzi ya VVU
M matc JF-Expert Member Joined Sep 14, 2012 Posts 260 Reaction score 45 Sep 26, 2012 Thread starter #4 Mundu said: Bia ilimsevu Rais wa Afrika ya kusini na maambikuzi ya VVU Click to expand... Kwa hiyo inafaa kuitumia kwa ajili ya nguvu za kiume?
Mundu said: Bia ilimsevu Rais wa Afrika ya kusini na maambikuzi ya VVU Click to expand... Kwa hiyo inafaa kuitumia kwa ajili ya nguvu za kiume?
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 644 Sep 26, 2012 #5 matc said: Kwa hiyo inafaa kuitumia kwa ajili ya nguvu za kiume? Click to expand... Labda kupunguza
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,892 Sep 26, 2012 #7 indirectly, yes. Red wine inasaidia kupunguza matatizo mengine mwilini ambayo kuwepo kwayo kunaadhiri nguvu za kiume.
indirectly, yes. Red wine inasaidia kupunguza matatizo mengine mwilini ambayo kuwepo kwayo kunaadhiri nguvu za kiume.
M matc JF-Expert Member Joined Sep 14, 2012 Posts 260 Reaction score 45 Sep 26, 2012 Thread starter #8 georgeallen said: indirectly, yes. Red wine inasaidia kupunguza matatizo mengine mwilini ambayo kuwepo kwayo kunaadhiri nguvu za kiume. Click to expand... Haya bana thax..
georgeallen said: indirectly, yes. Red wine inasaidia kupunguza matatizo mengine mwilini ambayo kuwepo kwayo kunaadhiri nguvu za kiume. Click to expand... Haya bana thax..