tax compliant JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 1,211 Reaction score 1,200 Oct 18, 2017 #21 don mzaramo said: mzee mfukunyuku wewe Click to expand... πππInafurahisha mkuu, hawa wafanya biashara hawa waache tu.
don mzaramo said: mzee mfukunyuku wewe Click to expand... πππInafurahisha mkuu, hawa wafanya biashara hawa waache tu.
ukuwi JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 883 Reaction score 1,490 Oct 18, 2017 #22 Mkuu gharama za kuletewa Zina cost kiasi gan?
Sanjara Honey Member Joined Jul 1, 2009 Posts 71 Reaction score 32 Oct 18, 2017 #23 Mtali said: Bei ya jumla unauzaje boss? Na unapatikana wapi? Click to expand... Carton yenye Chupa 12 inauzwa TZS 96,000/= Ukinunua zaidi ya cartons tano unapewa Chupa za nyongeza ukaonjeshe bure. Tunapatikana Dar na Mikoa mingine kupitia mawakala. Unaweza kuongea nasi kupitia 0767 988 173. Karibu sana!
Mtali said: Bei ya jumla unauzaje boss? Na unapatikana wapi? Click to expand... Carton yenye Chupa 12 inauzwa TZS 96,000/= Ukinunua zaidi ya cartons tano unapewa Chupa za nyongeza ukaonjeshe bure. Tunapatikana Dar na Mikoa mingine kupitia mawakala. Unaweza kuongea nasi kupitia 0767 988 173. Karibu sana!
Sanjara Honey Member Joined Jul 1, 2009 Posts 71 Reaction score 32 Oct 18, 2017 #24 ukuwi said: Mkuu gharama za kuletewa Zina cost kiasi gan? Click to expand... Kwa Dar kuletewa ulipo ni BURE. Kama upo nje ya Dar nijulishe ulipo na ukubwa wa oda yako nikupatie bei tufanye biashara. Karibu!
ukuwi said: Mkuu gharama za kuletewa Zina cost kiasi gan? Click to expand... Kwa Dar kuletewa ulipo ni BURE. Kama upo nje ya Dar nijulishe ulipo na ukubwa wa oda yako nikupatie bei tufanye biashara. Karibu!
Sanjara Honey Member Joined Jul 1, 2009 Posts 71 Reaction score 32 Oct 18, 2017 #25 DAKA MTUMBA said: Ina %ngapi? Click to expand... Ina ABV 14.1%
Sanjara Honey Member Joined Jul 1, 2009 Posts 71 Reaction score 32 Oct 18, 2017 #26 Evelyn Salt said: Nmepata kiu ghafla Click to expand... Karibu tuitiishe kiu yako. Tuko tayari kukuhudumia na itakuwa faraja kwetu kukuhudumia.
Evelyn Salt said: Nmepata kiu ghafla Click to expand... Karibu tuitiishe kiu yako. Tuko tayari kukuhudumia na itakuwa faraja kwetu kukuhudumia.