RED SCREEN KATIKA PS3 MSAADA

kwagwaru

New Member
Aug 20, 2018
1
0
HABARI ZENU WANA JF
PS3 yangu ina tatzo la kuonyesha screen nyekundu ukiiwasha yenye maandishi fulani ambayo siyo ya kiingerezA.
Msaada kwa anayejua solution au anayemfahamu m2 anayeweza kuitengeneza .

ilipelekwa kwa fundi akajarbu kubadili hard disk, lakinn tatzo liko pale pale.
CHEKINI PICHA NILIZO ATTACH ZA HIYO SCREEN.
na kama m2 anaelewa hiyo lugha anisaidie kutafsri
 
Attachments

  • IMG-20181008-WA0009.jpg
    IMG-20181008-WA0009.jpg
    46.6 KB · Views: 31
  • IMG-20181008-WA0010.jpg
    IMG-20181008-WA0010.jpg
    53.6 KB · Views: 27
HABARI ZENU WANA JF
PS3 yangu ina tatzo la kuonyesha screen nyekundu ukiiwasha yenye maandishi fulani ambayo siyo ya kiingerezA.
Msaada kwa anayejua solution au anayemfahamu m2 anayeweza kuitengeneza .

ilipelekwa kwa fundi akajarbu kubadili hard disk, lakinn tatzo liko pale pale.
CHEKINI PICHA NILIZO ATTACH ZA HIYO SCREEN.
na kama m2 anaelewa hiyo lugha anisaidie kutafsri
kaka ulishapata suluhisho?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom