Oh red Cross kazi yake ya wazi ipo wazi. Kusaidia palipo shida majanga nk.Si western NGOs even eastern. Kiufupi hakuna nchi ambayo haimchunguzi mwenzake. But then hiyo haimaanishi red cross kazi yao ndio hiyo
Lakini baba hao NG'Os kazi zao za wazi Ni nyingi Sana wengine utakuta Ni madaktari, wataalam wa kilimo, wakufunzi vyuoni na shuleni nk.
Huko kote hutafuta taarifa za mataifa yet.
Utaskia wanajitolea. Wajitolee kwani kwao Hakuna walemavu?
Hakuna njaa?
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app