makonko JF-Expert Member Joined Sep 18, 2017 Posts 240 Reaction score 271 Sep 25, 2018 #1 Nimekutana na hii habari, inaukweli wowote au ndo tunataka kupigwa na watoto wa mjini??
malaika wa motoni Senior Member Joined Jul 28, 2016 Posts 131 Reaction score 102 Sep 25, 2018 #2 HUU NI UTAPELI. Sihusiki na Sijui chochote kuhusu Kazi za Red Cross. Ummy mwalimu waziri ya fya
steve111 Member Joined May 29, 2015 Posts 91 Reaction score 58 Sep 25, 2018 #3 nimeona tangazo hilo sijui ni kweli maana kuna 10,000/= for non member
steve111 Member Joined May 29, 2015 Posts 91 Reaction score 58 Sep 25, 2018 #4 hahaha au ndo watoto wa Mjini wamekuja Kwa plan C??
ngopyolo JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 1,940 Reaction score 1,521 Sep 25, 2018 #5 Awamu hii mtoe ajira kizembezembe hivyo!?
B Bakariforever JF-Expert Member Joined Aug 30, 2017 Posts 510 Reaction score 514 Sep 25, 2018 #6 Awamu hii hadi turudi kwenye zama za jero kuiita miatano 😁😁😁😁😁 Attachments IMG-20180925-WA0006.jpg 57.6 KB · Views: 53