Kama alishaingiza details zake za NIDA, system itamgomea kufungua account nyingine.katika vitu muhimu vya kuhifadhi kwa dunia ya sasa ni email huu ni ulimwengu wa kidigatal mkuu
nadhan ulikuwa huitumiii mara kwa mara
ila usikate tamaa ilikishindikana kabisa fungua email mpya kisha jiunge kama mtandao upo vizuri ni ishu ya siku moja tu unamaliza kila kitu
Nikijaribu kuweka cheti Cha form four kinakataa inataka program name na ukiclick program name haikubaliIngia kuanzia saa sita usk - kumi alfajiri utakua unateleza tu
Inaleta programme name sababu hujachagua elimu ya upili mwanzoni, programe ni kwa level ya chuoNikijaribu kuweka cheti Cha form four kinakataa inataka program name na ukiclick program name haikubali
Yes bila kuweka nida I match na majina inagoma kabisani shida
kwani taarifa za nida kuweka hivi option si lazima?
Nimeanza degree imekubali diploma imekubali ila form four imegoma au nilitakiwa kuanzia form fourInaleta programme name sababu hujachagua elimu ya upili mwanzoni, programe ni kwa level ya chuo
Huwa wanasisitiza hiliNimeanza degree imekubali diploma imekubali ila form four imegoma au nilitakiwa kuanzia form four
Unajaza then unakuja kuapply ,pia unaweza kususcribe upate notification endapo kada yako kuna nafasi ya waziSorry hii recrutment portal unajaza tu ..then ikitokea nafasi utakua contacted au mpaka kue na nanafasi ndio ujaze then uapply?
wamekosa nini maIT wa tanzania ?