recruitment agents

odg

Senior Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
190
Reaction score
28
Habari wakuu,

Tafadhari mwenye kufahamu jinsi hizi recruitment zinavyopata revenue zake. Maana kuna tetesi kuwa wakimtafutia mtu kazi kila mwez anakatwa kiasi furan mpaka atakapoiacha hiyo kazi, je ni kweli?

Kama ni kweli, je hii ni haki? Ipo kisheria? Tafadhari nisaidien wakuu
 
Mimi nilikuwa nahitaji mtu anayefahamu reputable recruiting agencies anitajie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…