Mimi nilikuwa na Toshiba kama ya kwako, with VISTA. Baada ya kuona inanizingua (printers, scanners za ofisi zilikuwa hazikubali vista), nilliflash na kuweka XP.
Baada ya hapo nilipata shida maana wireless ilipotea, sound ikawa ya ajabu na mouth pad ikawa inahang mara kwa mara. Nilihangaika sana kutafuta drivers na mwisho wake nillipiga chini ile laptop -sina hamu teeeeena na Toshiba.
So, ni wazo zuri kutafuta drivers kwanza