Records za matusi kwa g55

🚮🚮🚮
 

Hahaha japo naheshimu mawazo yako lakini kuna ntu anakonda kwa mrema na kigaila kuondoka?? Hawajawahi kushinda hata Uchairman wa kitongoji, yani majirani zao tu hawajawahi kuwaamini, itakua kitaifa? Hatuwajui kaka na hawana impact yoyote mkuu, chadema ni wito na feeling so kama hunayo abdu akitokea tu na furushi lake utamfuata tu ushibe japo temporary, tunawatakia maisha mema kibongobongo hatunaga viapo! Nchi yetu sote wakienda popote bado ni watanzania wenzetu japo ni disgrace kwa familia zao! Taasisi haiathiriki kwa watu wachache hao ni familia zao tu na future zao. Goodluck wanakuja kwenu
 
Gentleman,
ukondefu na maumivu ni makali mno mioyoni mwenu na hilo sio jambo la kuficha, mnaweweseka mno kwa hao waungwana kusonga mbele kisiasa kadiri walivyoona inafaa,

na impact yao,
ni pamoja na haya mayowe mnayopiga kupitia maandiko mbalimbali humu jukwaani ikiwa ni pamoja na hili bandiko lako la faraja kwa wanachadema walioumia zaidi kwa hao waungwana kutumia uhuru na haki zao za kikatiba kuamua muelekeo wa siasa zao 🐒
 

Tungekonda mwenyekiti kuwa gerezani sio hawa wachumia tumbo kuja mbogani! Sasa mwenyekiti mwenyewe yupo happy why tukonde, labda mama anaumia kuona simba anacheka tu na wanasheria wake wanademka kwa ngoma zake!

So hamna anayekonda kwa sasa coz hamna sababu ya maumivu yoyote, you heard???
 
Yani Chadema hamuwezi kufikiria mkavuka kufikiria juu ya kizingiti Cha CCM .

Unaacha kusema kuwa wanachama husika wana akili za kitoto na Wana uchu na madaraka kupita kiasi unasema wamenunuliwa na CCM.

Nani anaweza toa hela anunue wanachama vilaza Kama hao wanaokihama chama chenu ???

Yani Waje wafanye Nini CCM ambacho mpaka Sasa hakijafanyika ???

Next move .. 2030 tunanunua TL. tunamhamishia CUF .
 
Mkuu unafatilia mikutano ya chama lakini..... Unafahamu maana ya kutweza utu???
 
Angalia interview kati ya Odemba na kigaila utapata majibu yote kuwa "WALE NI WAKINANANI", kwa sasa Lissu wamemfunga mdomo ,Heche anamipaka ,Subiri mdomo wa Lissu uwe huru hayo Makombora yatafyatuliwa yatathibitisha yote
 
ni unafiki wa kiwango cha juu sana gentleman,
yaani uondokewe na watu wako wa karibu halafu uwe happy? unless wewe ni lofa ndio utainjoy hali hiyo
 
ni unafiki wa kiwango cha juu sana gentleman,
yaani uondokewe na watu wako wa karibu halafu uwe happy? unless wewe ni lofa ndio utainjoy hali hiyo
Tuassume mie lofa basi yaishe, nawatakia accommodation njema huko mlipowapangia! Watanzania wapo 60m+ wote wana umuhimu sawa tu hamna mtu special wala pengo lisilozibika, kwanza walishakua replaced miezi sasa na mambo yanaenda tu
 
Tuassume mie lofa basi yaishe, nawatakia accommodation njema huko mlipowapangia! Watanzania wapo 60m+ wote wana umuhimu sawa tu hamna mtu special wala pengo lisilozibika, kwanza walishakua replaced miezi sasa na mambo yanaenda tu
no gentleman, relax,
sijamtaja lofa wala sihitaji yeyote ajiite lofa humu jukwaani,

but katika uhalisia mtu timamu hawezi kuinjoy wala kujiskia happy kukataliwa au kuondokewa na watu wake muhimu na wa karibu sana, daima atasikitika na kuwaza sana jinsi ya kuikabili kesho yake bila ya hao walioondoka. But lofa anaweza kuinjoy tu mazingira yote yale, kwasababu yupo yupo tu.

hata hivyo,
ni uhuru na haki kwa kila mTanzania kuamua mustakabali na uelekeo wa kufanya siasa kulingana na mtazamo wake huru. Nchi hii ni yetu sote na ni muhimu sana kufanya siasa safi bila kuoneana wivu, lakini ile muhimu zaidi tukubaliane kutofautiana kwa amani kama Familia ya JF na waTanzania kwa ujumla,

hiyo ni muhimu zaidi gentleman, right?
 
Kama ni liability kila mtu mwenye akili timamu atakua neutral tu, sasa mtu kakaa miaka 20 hajawahi kushinda hata udiwani unalia nini zaidi ya kumwachia tu akajaribu nyota yake kule kijani? Hata wangesingn doc ya maadili kuna wa kushinda pale? Walizoea uteuzi wamekosa wanafikri wanamkomoa Simba! Bahati mbaya sana hawajui level ya vita zao 😂, Simba level yake ni mama hata wasira hayupo sembuse failures mkuu? Pathetic, nahurumia familia zao tu coz baba is jobless na sasa kapanic
 
We imagine, viongozi very vocal, wanajizngsha huku na huko kwny vombo vy habar na kuwaonyesha wana-CDM, wao ndo kla k2 kwny chama, wanchangia maamzi mblmbl na mngne kuhusu kufungua kesi mahakmani kumbe huku nyuma wanahujumu kixirixiri!! Wanashriki kuaminisha kuwa wale ma-kovid ni mamluki kumbe baadhi ni wenza wao! Kna walioxema NRNE walikua wanatishia tu, ati hawakua serious. Unamwaminije mwnachma wa aina hii!! Hii C hujuma ktk chama!? CDM ijichngze kw xana, kina Kigaila na yule mwnzke Mwl. wanaxema xana lkn kumbe ...!! Vyama vng vinakufa kw ajli ya viongz wa aina hii! Wanatucheleweshea mageuzi - waondoke tu na kama waTz wanaona hawa walikua asset kw ajli ya kauli zao, baxi tujue Tz tumelogwa na mchawi kwishnei, kaaga dunia ...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…