Recording microphone nzuri

Recording microphone nzuri

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,022
Reaction score
13,368
Habari wakuu,

Nataka niwe narecord audio mbalimbali kwa ajili ya podcast/ YouTube video. Ni microphone gani nzuri na cheap naweza kutumia.

Nimejaribu hii ya simu naona hata haina quality.
 
Kama una budget ya TZS 100K chukua Fifine K669 USB Microphone ila kama unahitaji ya bei chini ya TZS 20K chukua zile za kuweka kwenye T-Shirt: Portable Clip-on Lapel Lavalier Microphone.
 
Hapa pananihusu,na Mimi nilikuwa nahitaji hi kitu,yaani nataka niwe najirekodi video kwa kutumia simu lakini sauti iweze kusikika vizuri bila shida yoyote,nadhani hapa nitapata sululisho.
 
Habari wakuu,

Nataka niwe narecord audio mbalimbali kwa ajili ya podcast/ YouTube video. Ni microphone gani nzuri na cheap naweza kutumia.

Nimejaribu hii ya simu naona hata haina quality.
Kwa proven mics za bei nzuri angalia bidhaa za blue, blue yeti around laki 2 na snowball around laki 1.

Blue yeti
31NsHRcitjL._AC_SY400_.jpg

Snowball
41QTHAuCvDL._AC_SY400_.jpg

Hizi zote ni usb mic plug and play hazina haja na sound card wala setup yoyote inayohitaji utaalamu.

Kuwa makini na lavalier na mic nyengine zinazotumia port ya Earphone, unaweza ona review nzuri youtube ila wale ni pro na wana mislead wana expensive sound card zinazoboost power kwenye mic, port ya kawaida ya mic haina uwezo wa kutoa umeme mwingi kama usb.

Kama budget ni ndogo sana lavalier zipo mtaa wa uhuru na msimbazi ama msimbazi jengo la simba maeneo yale yapo maduka kibao ya mic.
 
Ahsante Chief,Ahsante Sana. Hizo lavaliere ni Bei gani Kama unajua
 
Chini ya 50,000 mkuu mpaka around 10,000 zipo, ukifika jina maarufu ulizia mic kama za msikitini kwa pale uhuru,
Ahsante Ila sipo huko Dar niko Namtumbo huku nitaangalia nikienda Songea Town nilikosea pale nitamuagiza mtu huko
 
Hivi zile za wireless zinazotumika na online TVs huwa zinapatikana hapa bongo? Na ni bei gani?
 
Karibu kariakoo ukiihitaji zaid nifate

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi zile za wireless zinazotumika na online TVs huwa zinapatikana hapa bongo? Na ni bei gani?
Zile za Sony? Wanauza laki 4 na nusu kama sijakosea, zipo nyingi nyingi si unajua wabongo mmoja akiwa na kitu wanaigana. Cheki msimbazi jengo la simba kwa nyuma.
 
Back
Top Bottom