CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 6,087
- 5,352
Kuongezeka kwa idadi ya wanachama wa vyama vya ushirika ni kiashiria cha uchumi wetu kukua.
Mwaka 2014/2015 wanachama wa vyama vya ushirika walikua ni 2,390,593, mwaka 2020/21 wakaongezeka na kufikia milioni 5.9 na mwaka 2024 wamefikia milioni 8.4
Rais Samia pia amechagiza mchakato wa kuanzisha benki ya ushirika ikiwemo kuwezesha kufikia lengo la shilingi bilioni 58