Kwa kuongezea,mpaka leo marekani inalipa pesa nyingi kwa wahanga,maana kila uchwao watoto na wakazi wa laos amabao hawakuishuhudia vita ya Vietnam na marekani,wanaendelea kuathirika na matokeo ya vita kwa kuripukiwa na mabomu kila uchwao.,Hujui kitu,umezoea propaganda za chama chakavu,kwa taarifa yako Laos ndio sehemu ambao iliangushiwa mabomu mengi,takribani mabomu milioni mbili yaliangushwa pale na marekani,hadi leo hii raia wa laos ni wahanga wa vita baridi,yaani ni maelfu ya mabomu ambayo mpaka sasa hajaripuka,.na yanaendelea kuwadhuru wakazi wa maeneo yao, [Land of a Million Bombs | Legacies of War] is good,have a look at it! Land of a Million Bombs | Legacies of War