receptionist wa equity bank

kidole007

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
3,094
Reaction score
1,878
si kwa ubaya

kama umewahi kutembelea benki ya equity tawi la golden jubilee
basi bila shaka utakuwa umewahi kukutana na angel like face ya binti mmoja hivi kwa muonekano kama half cast ivi

kila nikimwangalia huyu dada natamani niendelee kumwangalia hamu haiishi
kwa kweli shes food to my eyes

nywele sio ndefu kivile licha ya uchotara wake (am not sure kma ni chotara)

kwa kweli huyo receptionist she is killing me softly

najua mtaniona domo zege eti kisa sijamwambia feelings zangu
sio kila tunda linaliwa mengine ya mti wa kati ukila hakika utakufa

kwa jinsi alivyo nikolea nimesha mpiga picha bila yeye kujijua naingaliaga usiku

kinachonifanya nisim-mwagie sera ni huo uzuri wake naogopa asije nasa anipe pressure me bado mdogo

mwisho nadedicate wimbo wa pusha by lloyd ft lil wayne maalum kabisa kwake
nite nite JF
 
Kwa kuweka post kama hiyo hapa ushamtongoza tayari. Pili ushamdhalilisha tayari. Kwa kumdescribe voyeuristically ie kama unamvua nguo tena ktk forum kama hii umetenda kosa la shambulio la aibu. Mbaya zaidi umempiga picha bila ridhaa yake. Hizi zote ni hatari tupu.
Ila kama yuko interested atakuPM bila shaka.
 

Kumbe ndio wewe! Nipm namba yako
 
...
najua mtaniona domo zege eti kisa sijamwambia feelings zangu
sio kila tunda linaliwa mengine ya mti wa kati ukila hakika utakufa
....



kinachonifanya nisim-mwagie sera ni huo uzuri wake naogopa asije nasa anipe pressure me bado mdogo...

....
So! Sisi tukusaidie nini?
 
kidole007 bilashaka we ni Punga a.k.a bwabwa mwenzangu domo zege
 
kazi kuishia kuongea JF kama kweli we kidume ungemfuata na kumton.goza.
 
nmetaja hadi sehemu anayo patikana bado unataka picha?
Nenda kajionee mwenyewe?

acha mwendelezo wa udomo zege mpaka kuwa na mawazo zege..weka picha tupime udhaifu wa machaguo yako..isijekuwa yaleee ya ganda la muwa la juzi....chungu kaliona kibuzi. Pole wee.

Cut the story short weka picha tuone sio kila mwana jf anaishi huko uliko wewe ...na hiyo equity bank huku kwetu kantalamba haipo.

Au ndio kidemu chako unataka kuki-paisha ili keshokutwa ututambie.....nasisitiza hoja ya kuweka picha bado huna mbadala wake.
 

what kind of offence is voyeristic??
Picha bila ridhaa nakubali
did i post it it here??
 

who cares kama me ni domo zege?
Kma equity haipo huko kwenu who cares take it as a poem
na kma una care that much kuhusu picha panda basi hadi equity ukaone live
 

Nenda Stanbic tawi la Kinondoni(ile njia ya kwenda kinondoni) kuna Bank Teller mmoja mweupe hizi mzuri. Ana tabasamu zuri na sauti nzuri mno. Kila siku nikiwa kwenye mstari pale natamani niende anihudumie ila nakuta inabidi niende kwa ile midume mingine daah!!
 
Kiuno chake kama denu wangu?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…