receiver haiwaki nini tatizo ?

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
130
Habari ndugu zangu..?
mwenzenu nimewasha receiver ya ungo dah! haikuwaka kamwe nami pia sijui tatizo

naogopa kuliwa nikipeleka kwa fundi si unajua tena wakijua hujui tatizo hawa mafundi so nahitaji pakuanzia labda kama nini kinaweza kuwa tatizo ili hata fundi asinipige pakubwa

naamini humu kuna wajuzi wengi wa hizi kitu, ahsanten
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…