Recategorization

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,335
Reaction score
404
Habarini za mda huu, naomba mwenye uelewa juu ya kubadilisha kada(recategorization) nasikia ukiomba kubadilisha kada utaanza na mshahara wa mwanzo na stahiki zako zote zinaanza upya ? Mfano mafao?
 
kwenye mafao hapana, ila kwenye cheo na mshara ni kweli

Kama ulikuwa Senior officer kwenye Kada X
Ukienda kada Y utaanzia pale pa kuanzia Eg. Officer II

Let say Una diploma ya kada X same time una degree ya kada Y na uliajiriwa kwa kwa diploma kwenye kada X may be ambayo umetumikia kwa miaka kadhaa labda hata 15
Ukihamishwa kada ukaja kada Y unaanza pale pa kuanzia

Kuna baadhi ya watu wakifanyiwa Recategorization huwa hata mishara inashuka

Kuna tofauti kubwa ya mshahara kati ya mtu wa diploma aliefanya kazi miaka 20 na wa degree anaeanza leo.

Huyu wa Dip anaweza kuwa na mshahara mkubwa thou ndio upo ukingoni hauwezi panda tena, ila wa degree atakuwa na mshahara mdogo ambao utaendelea kusonga mbele
 
Habarini za mda huu, naomba mwenye uelewa juu ya kubadilisha kada(recategorization) nasikia ukiomba kubadilisha kada utaanza na mshahara wa mwanzo na stahiki zako zote zinaanza upya ? Mfano mafao?
Recategorization kwamba kazi imekushinda au? Maana mostly huwa ni kama demotion so mshahara unaweza kushuka na baadhi ya allowances kupotea au kupungu inategemea na aina ya recategorization ila from my experience huwa haziombwi ...[emoji38]

Au unaongelea Transfer?
 
Sina hakika kama una ufahamu kwa ulichokiandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…