Reason Why They Fall For K.......

kila nikiangalia hiyo avatar yako naona namtokea Bibi yangu naahirishaga, angalaaau nibadilishie kwa siku tu nikuimbishe imbishe bibie


Eeehh hii avatar ni mimi orijinale siwezi badili labda niweke ambayo zamani nilikuwa katoto.

Bora uendelee kufunga breki hivohivo usijebemendeka bureee.
 
wape nafasi uwasikilize wengine sio waongeaji,ila matendo yao yana tija.

Nawasikilizaga wotee, sema wengine nakuwa mvivu kujibu kutokana na namna wanavoandika.
 
Ndio maana Wakurya hawanaga mbwembwe, wao tongoza Yao ni Hivi, Kasie umeolewa au unafanya umalaya? Ukijibu unafanya sijaolewa ushabebwa tayari


Sent using Jamii Forums mobile app


Aahahahahahahaha looh hao watu huwa nawaogopa hata kuwa na urafiki nao.

Na wasukuma jee.....!!??
 
Hehehehehee asante shemeji, napambana Mahaba ndo kila kitu kwa Kasie.
Kwel shem pambana maana kuna watu hawachelew ku overtake vichwa vyao vipo juu juu kama vina search network ya 4G
 
And I say “what about them niggas?” She say: “what about them niggas?”
You right, what you doing tonight?
Put on something tight, don’t judge me, I’d get life
She love me like a brother, but *** me like a husband
Pussy like a oven, too hot to put my tongue in
All I had to do is rub it, the genie out the bottle
Pussy so wet, I’mma need goggles
She tell me that’s it’s mine, I tell her “stop lying, mine and who else?”
She say worry about yourself Dreka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…