Reason Why They Fall For K.......

kwahy ht me nkija na mitongozo yangu utanipost hvy..?
kasie huendi mbinguni.
 
Haya bwana shemeji

Ila watu wa Dar wanasema hainaga ushemeji😀

Mie siko Dar shemejii, niko kwenu aka ukweni napalilia Mahaba hehehehee.

Chezea mkuyange chapa maziwa....
 
kwahy ht me nkija na mitongozo yangu utanipost hvy..?
kasie huendi mbinguni.

Kuna mtu amepostiwa hapa? Labda uje upost mwenyewe. Kasie ni msimulizi wa matukio yake bila kutaja mtu.
 
kila nikiangalia hiyo avatar yako naona namtokea Bibi yangu naahirishaga, angalaaau nibadilishie kwa siku tu nikuimbishe imbishe bibie
 
wape nafasi uwasikilize wengine sio waongeaji,ila matendo yao yana tija.
 
Ila you girls with well knowleged and english you got a own defending mechanism when it comes to love...

Hakuna kitu napenda km nbongo mwenye english upanga alafu manzi hiiiiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie siko Dar shemejii, niko kwenu aka ukweni napalilia Mahaba hehehehee.

Chezea mkuyange chapa maziwa....
Hehe!! Et mkuyenge chapa maziwa😀😀Aisee shem ENDELEA tu kupalilia mahaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…