Sasa ukimkataa MTU had utangaze jmn!?? Wanawake nyie bhn,kwahyo mnataka tusiwe tunawatongoza bali muwe mnatutongoza nyie au??
Siwaelew...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha weeeee.....sawa mama ..ila mjue cc tunao wajibu wa kutongoza na kama binti hatongozwi lazma atakuwa anastress za kujiuliza why????Ukiongea kwa sauti ya chini pia unasikikaa.
Pole kwa kukwazika ila sijawahi kataa mtu mie huwa wanakimbia wenyewe.
Kasie Mahaba Matata.
The matataz. Watapata tabu sanaUkiongea kwa sauti ya chini pia unasikikaa.
Pole kwa kukwazika ila sijawahi kataa mtu mie huwa wanakimbia wenyewe.
Kasie Mahaba Matata.
Haya bwana shemejiHahahahhaaaa wewe ni shemeji yangu, inuka tuu uwashe taa. Ngoja kaka yako aje ndo anajua mahali switch ilipo.
Wacha weeeee.....sawa mama ..ila mjue cc tunao wajibu wa kutongoza na kama binti hatongozwi lazma atakuwa anastress za kujiuliza why????
Sent using Jamii Forums mobile app
KASIE.. Mbibi mweupe kiasi,mfupi kiasi! kila siku hulalama na mapenzi.. kapendwa yeye kapenda yeye..!
kafatwa yeye,kamfata yeye!
anapenda kuona wakilalama juu yake lkn muda umeshazeeka kwake!,Kina babu ndo mahandsome wake!
kha! nalikutamani kipindi ungali kijana hakika ningelikula mpk ungelikwisha!