hata kikwete icc inamuhusu sana kwa mauaji ya mwangosi, ally zona, waandamanaji wa chadema arusha, bomu katika mkutano wa chadema soweto na mauaji mengi yenye sura ya kisiasa bila kusahau utekaji nyara na utesaji watu. Funny enough kikwete hajawahi hata kutoa pole kwa mjane wa mwangosi.
Kikwete kwa sasa ni kipenzi cha wazungu kwa kuwa ana rasilimali na hivyo kuwa snitch wenzie, lakini hajui undumilakuwili wa wazungu watakaomgeuka madini na gesi vikiisha