Real Madrid Vs Chelsea

Real Madrid Vs Chelsea

Ogah

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
6,238
Reaction score
1,567
......Mtanange unaendelea...mpaka sasa ni RM 1 - CHL 1......

Gemu linavutia sana.......ndani ya Miami....
 
Chip alioipiga Ramirez na kufunga bao, jamaa namkubali manake forward wengi hawafungi bao zuri kama hili
 
Brazilians on the show....si mchezo aisee......Goli la Ramirez ni zuri......
 
Naon Lampard anataka kuwanyonga RM.....wana bahati sana RM.......
 
Huyu Lukaku naona munkari umemzidi.....
 
Ila huyu Lukaku inabidi apelekwe timu nyingine on season loan manake hamna kitu. Chelsea wakimpata Rooney watachinja sana kwenye EPL
 
Duuuuuuh.....hooo hooo hooo Ronaaaaldo...Scores.....aiyaa....
 
Halafu nashindwa kwa nini R. Madrid wanamtaka Bale wakati Ronaldo bado ni balaa manake hii free kick aliomtungua Petr na kufunga bao la pili ha ha ha ha!
 
hawa Wajerumani wawili i.e. Ozil na Khadera.....ni mwiba sana kwa timu yeyote inayokutana na RM....duuhh
 
Yaani huyu Lukaku anaruka ruka tu kule mbele.....sidhani kama atadumu na Jose huyu....duuhh....kipindi chote cha kwanza sijui hata kama alikuwepo......
 
hawa Wajerumani wawili i.e. Ozil na Khadera.....ni mwiba sana kwa timu yeyote inayokutana na RM....duuhh

Ozil na khedira ni balaaa yaani wanaterezaaa hatari...very talented players
 
RM 2 (Ronaldo, Marcello) - CHL 1 (Ramirez)........mpira ni mapumziko.......
 
Game nzuri kujua mapungufu idara mbalimbali kwa kila timu.
 
Lukaku leo hamna kitu kabisa zile juhudi zake leo hamna
 
....gemu limeshaaanza....rafiki yangu Lukaku simuoni tena.......Moses ni bora sana .....
 
Hazard anawakosakosa RM hapa......Chelsea wako live sana kipindi hichi cha pili......
 
Victo Moses na Torress wanawapa msuko suko hawa mabeki wa RM.....
 
Game nzuri kujua mapungufu idara mbalimbali kwa kila timu.
Kwa jinsi nilivyoiona hii game so far:
Ivanovich inabidi asiwe starter.
Lampard ni mzee na apunguze papara za kufunga na aingie as a sub
Chelsea wanahitaji clinical striker waliopo hawatoshi
 
Back
Top Bottom