Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Real Madrid Basketball 82- 80 Valencia. Our boys are off to the final of La Liga Endesa. Vamos!! #HalaMadrid
Jose anataka vita na wana Santiago!! Haya ngoja tuone mwisho wake.
Price tag yake inazidi kuongezwa sifuri tu.
Anataka kuparamisha bei tu mbuzi yule, sijui katumwa!
Price tag yake inazidi kuongezwa sifuri tu.
Hawa mawakala nahisi wanapiga cha juu kwa kushirikisha makocha kupandisha dau la mchezaji afu pia makocha nao sijui wanafaidika!?Ndio maana yule mbwa Mino Raiola anajiona God. Yule na mwenzake Jorge Mendez are disgrace of football.
Mimi mwenyew hili suala la Pogba linanitatiza sana, ninaona kama Juve wanatumia ile yeye kutakiwa na Real Madrid kupandisha bei yake., lakini kama ninaona bei yake ni ya kawaida tu.Kwa Pogba twapoteza hela tu
Mou anataka kujitutumua tu, ila anajua hatuwezi, pia Pogba hawezi rudi united!! jamaa ana mambo ya kitoto sana!!
Anataka kuparamisha bei tu mbuzi yule, sijui katumwa!
Hawa jamaa ni tatizo kwa kweli, huyo Mino anaichukia Real madrid na Perez sio kawaida!! Pogba analipwa €4.5m pale Juve sasa hiv, ghafla anatukomalia kua hataki mteja wake alipwe chin ya €12. Alishindwa nini kumtetea huko Juve alipwe hiyo Pesa anayoitaka yeye wakti ni mwaka jana tu Pogba ameingia mkataba mpya na Juve!!Ndio maana yule mbwa Mino Raiola anajiona God. Yule na mwenzake Jorge Mendez are disgrace of football.
Mino anampoteza Pogba, maana Zizou ana maelewano mazuri mno na Pogba na kingine Pogba anaonekana yuko interested na R.Madrid hivyo hapa ngoma nzito.Hawa jamaa ni tatizo kwa kweli, huyo Mino anaichukia Real madrid na Perez sio kawaida!! Pogba analipwa €4.5m pale Juve sasa hiv, ghafla anatukomalia kua hataki mteja wake alipwe chin ya €12. Alishindwa nini kumtetea huko Juve alipwe hiyo Pesa anayoitaka yeye wakti ni mwaka jana tu Pogba ameingia mkataba mpya na Juve!!
Hawa jamaa ni tatizo kwa kweli, huyo Mino anaichukia Real madrid na Perez sio kawaida!! Pogba analipwa €4.5m pale Juve sasa hiv, ghafla anatukomalia kua hataki mteja wake alipwe chin ya €12. Alishindwa nini kumtetea huko Juve alipwe hiyo Pesa anayoitaka yeye wakti ni mwaka jana tu Pogba ameingia mkataba mpya na Juve!!
Mino anampoteza Pogba, maana Zizou ana maelewano mazuri mno na Pogba na kingine Pogba anaonekana yuko interested na R.Madrid hivyo hapa ngoma nzito.
Mino ni mpuuzi sana, chuki ndio inayomsumbua, sio kitu kingine..,Real Madrid wako tayari kumpa five-year contract with €9.8M hela ambayo itamfanya awe one of the richest footballers at the moment, lakini yule mbwa Mino Raiola anadai €12 to 13M.
Kutoka kulipwa 4.M mpaka 9.M ni parefu sana. Sasa yeye kama anadai 12 maana yake hataki mchezaji aende Madrid lakini hakuna klabu itayompa offer zaid yetu.Real Madrid wako tayari kumpa five-year contract with €9.8M hela ambayo itamfanya awe one of the richest footballers at the moment, lakini yule mbwa Mino Raiola anadai €12 to 13M.