Unajua hayo makombe matano ya mwanzo ambayo wanataka yafutwe, ni kutokana na wivu tu kuona tuliyabeba mara tano mfululizo.. Kitu ambacho hakijawahi tokea tena.
Labda sahivi Mr UEFA Zizou anaweza fanya maajabu hayo.

Subiri baada ya miaka mingine 20, watadai na haya makombe yote ya sasa tunyang'anywe. Real Madrid ikishinda huwa ninafurahi sana kwasababu haters wako wengi.