Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

ATLETICO ALITUMIA NGUVU KUBWA KUFIKA FINAL,
JUST UCHEZE DAKIKA 180 NA BARCELONA, THEN UCHEZE DAKIKA 180 NA BAYERN MUNICH NA ZOTE UPERFOM VIZURI,

BARCELONA NDIE BIGWA KWENYE LIGI YA ATLETICO, WAKATI BAYERN NI BINGWA WA GERMANY,

MADRID YEYE KATOKA KWA WOLFSBURG NA MAN CITY, MAN CITY NI YA NNE HUKO KWAO WOFSBURG SIJUI NI YA NGAPI KWANI NNE BORA HAIMO,

SO MADRID WALIKUWA NA ENERGY
 


Anzisha maandamano.
 
Muhimu hapa ni kwamba RMA ndiye bingwa wa UCL kwa mara ya 11. Hayo mengine unatupigia kelele tu.
 

Pointless ..... So what? Unaweza nikumbusha mapumziko kabla ya game yalikua siku ngapi? Ndio mlivyo watanzania mnagongwa halafu mnaanza kutafuta sababu mkikosa mnatafuta mchawi nani.....kilichotokea kwako ni ajali tu...kwahyo pole Sana
 
Pointless ..... So what? Unaweza nikumbusha mapumziko kabla ya game yalikua siku ngapi? Ndio mlivyo watanzania mnagongwa halafu mnaanza kutafuta sababu mkikosa mnatafuta mchawi nani.....kilichotokea kwako ni ajali tu...kwahyo pole Sana
acha kujitekenya
 
Florentino Perez spoke in front of the players and the Madrid mayoress Manuela Carmena.

Florentino Perez: "It's a great day for all of Real Madrid. It's an honor for me to be the president of an entity like this one."
- "This victory is dedicated to the 16 Madridistas who lost their lives in Iraq after a terrorist attack, and their family."
- "Another Madrid fan-club was victim of terrorist attacks. 12 passed away, and this is also for them."
- "Our history has taught us never to surrender. Our legend has been built on drive and passion."
- "Thank you Zidane, because La Novena, La Decima, and La Undecima are thanks to you."

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…