Hongera Madridista wote. Tulikuwa na up and down kwenye msimu huu lakini at the end tumefurahi. Hii timu sasa aachiwe Zizou aitengeneze. Perez asilete uspanyolidad wake akae pembeni aendelee kuuza jezi Tu. Mambo ya ufundi awaachie watu wenye akili timamu