Mpango nikukaza kwenye kiungo....najua atletico watakuja na mbinu zakuwapa pressure viungo...haswa casemiro na modric ili watoke mchezon....kingine ni muhimu sana kutumia nafasi tunazopata maana fainal huwa haina adabu ....bale akileta ile tabia yake yakutaka afunge yeye itaweza kutucost...