Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

sometimes najiuliza hivi kila kocha kunakuwa na wachezaji ambao wana wadislike ok i appreciate zidane lakini kuna ishu tukubali hayuko perfect compare issue ya james but hatuna lakufanya tutasikia tu kinachojili huko.
 

Most Goals + Assists for RM in 15/16:

[62] Cristiano
[33] Benzema
[31] Bale
[18] James
[15] Isco
[12] Jese/Kroos
[11] Vazquez
[8] Danilo

‪#‎HalaMadrid
 
sometimes najiuliza hivi kila kocha kunakuwa na wachezaji ambao wana wadislike ok i appreciate zidane lakini kuna ishu tukubali hayuko perfect compare issue ya james but hatuna lakufanya tutasikia tu kinachojili huko.


Ukisema Zidane dislike James napingana na wewe. Mainstream medias always create dramas kwahiyo jiongeze mwenyewe. Zidane anawachezaji more than 2 dozens, na anachezesha timu kutokana na games zinavyohitaji. Sio siri James ni mchezaji mzuri lakini tangu season imeanza perfomance yake hairidhishi. Usinibishie, mimi naangalia game zote, kaja kwa Euro milioni 80 lakini sasa hivi sijui kama kuna mtu anaweza kumnunua kwa hiyo bei. Aache mambo ya kutafuta huruma kwenye magazeti. He's too emotional. Bench linamuhusu mchezaji yoyote yule, asijione superstar anatukera sasa hivi. Midfielders watatu wanacheza vizuri na timu inashinda sasa sijui Zidane afanye nini? Kuna wachezaji kama Varane wako hot na wanachoma mahindi lakini usikii kupiga kelele. Mi namuona anatuletea nuksi tu.
 
ok Guy i think this dude will continue for sometime,so we can say it is the end of james in bernabeau.
 
ok Guy i think this dude will continue for sometime,so we can say it is the end of james in bernabeau.
Ndugu! James ni mchezaji mzuri lakini anatakiwa kupiga kazi ambayo inaonekana kama Cr7,Bale,Marcelo na wengineo ila si kulalamika kama afanyavyo sasa hivi mbaya zaidi anaenda kwenye media. Mimi naamini akitulia na kusikilizia benchi kimya kimya huku akijituma vilivyo mazoezini na kwenye match apatapo nafasi, basi atakuwa sehemu ya 1st eleven.
Mtazamo wangu ni huo.
 
ok Guy i think this dude will continue for sometime,so we can say it is the end of james in bernabeau.



James Rodrigues has struggled for form and fitness this season but I still see him in Bernabéu for more few years.
 
***** UEFA CHAMPIONS LEAGUE *****

Real Madrid Vs Manchester City
Date: 4th May - Wednesday
Time: 09:45 PM (East African Time)
Match Day: SEMI FINAL (SECOND-LEG)
Venue: Santiago Bernabeu

 
Cristiano Ronaldo gave an interview to the official UEFA media.

-"We know that we're facing a tough challenge, but anything's possible. If MCFC are in the semis its because they're an excellent team."

-"Knocking out PSG isn't easy to do, but Manchester City did it. They're a side with very few defects."

-[vs Wolfsburg]: "That was perhaps one of the most important games, a special night, we had to win by a 3-goal margin.It needed to be a perfect night and it was but not because of my goals for everything; the team played really well and Our fans played a really important role in us turning the tie around. It was a magical moment."

-"Winning UCL with Real Madrid was a very nice feeling, incredible, because the Champions is always a special competition."

-"I admired Zidane as a player & now as a coach too. With him we all feel more appreciated & we feel the affection he has for us."

-"We feel valued. We know Zidane is still in the adaptation process, but things seem to be flowing quickly and I'm very happy for him."

-"I admire Zidane for his way of being, and the way he handles the players. I would like him to continue as coach at Real Madrid."


 
- Zidane's Real Madrid have won 10 points in the last 10 minutes of matches, showing this team knows how to cope under
pressure.

- In the final minutes of games Real Madrid end like motorcycles, caging their rivals, and showing a superior physical level.

- Zidane has imposed his ideas and has created a side that's extremely competitive from the first minute until the last. [AS]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…