Poor perfomance,simply this is worse display ever aaaggggrr..!
Hoping for the second leg naamini tutapata the missing piece ya leo duh usiku umekua mbaya bila kutegemea.
Wazo la zizou kuunda timu ya vijana bado naendelea unga mkono....watu kama kina pepe hawa nikuwapa mkono wakwaheri....huwez kuwa na timu yenye wachezaj morali inakuja inakata....tuna kina verane,lucas,carvajal na wengine. ..hao ndo wakuwapa nafasi...lazima tujitathimin kwa faida ya miaka mitatu minne nakuendelea ijayo...sion dalili zakuwatoa hawa ikiwa kikosi ni hiki cha kina danilo