Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #16,021
Calderon amekua na maneno mengi sana siku za karibuni, au ana mpango wa kurudi tena? Kwa upande wangu kuliko huyu jamaa arudi ni afadhali tukabaki na Perez, kipindi cha huyu jamaa Madrid ilikua haisomeki, alikua anapinga mwenzie kununua wachezaji kwa bei ghali, yeye alikua ananunua wachezaji wa aina gani?? Apite hivii.., kwanza sidhan kama members wa Madrid watakubali kuchagua tena !!
Dah mpaka jamaa kakubali!? Ila Bale anaumia mara kwa mara ndio maana tunafail nyakati zingine.Julian Draxler [Wolfsburg]: "MSN vs BBC? They're the six most dangerous players in the world, but the BBC is much better."
Dah mpaka jamaa kakubali!? Ila Bale anaumia mara kwa mara ndio maana tunafail nyakati zingine.
Kweli, Bale ana energy sana ya kupressure rivals. Muhimu huyu mtu.Sasa tatizo la Bale na Värane ndio kalipata hilo hilo, a little bit scary kwasababu anahitakijaka sana kwenye hizi UCL games.
Kuna kazi ni kuenjoy mwanzo mwisho see.
Hiyo pic ya akina Marcelo nimeipenda, inaonekana kuna mmoja wao hapo atia wenzake ndimu kinoma !!Kuna kazi ni kuenjoy mwanzo mwisho see.
Ule wa usiku wa jumamosi ilikua ni udhalilishaji ama dhambi kabisa, Marcelo mpira unampenda kuliko yeye kupenda mpira, he was everywhere to the pitch.. raha sanaLeo asubuhi nimeiangalia tena mechi bila pressure wala tension. Beginning of the game Real Madrid walionekana ku struggle na dakika 20 za mwanzo game ilikuwa too risky kwa upande wetu. Lakini Real Madrid as a team, pulled it off quite well
Zizou is a synonym of mastermind. Absolutely amazing piece of tactics, kaa chini kwa dakika 20, deal with the waves of attack na shift the gears baadae. Pure genius.Outplayed barca for 70 mins .
Kitu kingine ni maamuzi ya Ref. Tbh sielewi Ramos' first yellow na Bale's disallowed goal.
Men of the night Casemiro and Marcelo
This dosent changes anything in the league were still not winning it. But this one was for the pride and honour of the crest because a madrid jersey is white it can be stained with sweat mud and even blood but never with shame.
Thank you Zidane