BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,334
- 8,813
Hauoni aibu??? Wanawake bwana yani sijui vipi hata mpewe nini hamridhiki.....haya basi kamsimulie na mume wakoMadrinyo kipofu kaona mwezi kutufunga hizo 2 ambazo ni =1-0, bac kelele nyiingi mtaani.....wakat cc huwa tunawapiga 3,4,5,6 na tupo kawaida tu!......point tumewazidi mbali, and we are the champion 😀
😀😀 Imekuuma eee jipige ukutani...tumepoteza mechi hiyo lkn kupoteza mechi moja co kushindwa kuchukua ubingwa dogo.....sababu ukiangalia bado madrinyo yenu ipo nyuma kwa point 7....so ma-fans wenzangu msiwaze sana kwa goli la cristina aguilera kwani kiwango chake hakifiki hata robo ya mtaalam THE KING LEO...chezea messi wewee maradona wapili huyoHauoni aibu??? Wanawake bwana yani sijui vipi hata mpewe nini hamridhiki.....haya basi kamsimulie na mume wako
Madrinyo kipofu kaona mwezi kutufunga hizo 2 ambazo ni =1-0, bac kelele nyiingi mtaani.....wakat cc huwa tunawapiga 3,4,5,6 na tupo kawaida tu!......point tumewazidi mbali, and we are the champion 😀
biggest wins in el classico
rmfc 11-1 fcb
rmfc 8-2 fcb
rmfc 6-1 fcb
rmfc 2-6 fcb
rmfc 5-0 fcb
rmfc 0-5 fcb
Leta ya kwako ya 2016 sasa hapa!!😀 Nyie waajabu kweli....mnatuletea results ya 1943, wakati DIEGO10S hakuwepo,messi hakuwepo..nyie vipii
😀😀 Imekuuma eee jipige ukutani...tumepoteza mechi hiyo lkn kupoteza mechi moja co kushindwa kuchukua ubingwa dogo.....sababu ukiangalia bado madrinyo yenu ipo nyuma kwa point 7....so ma-fans wenzangu msiwaze sana kwa goli la cristina aguilera kwani kiwango chake hakifiki hata robo ya mtaalam THE KING LEO...chezea messi wewee maradona wapili huyo
Mfamaji asiyekubali kushindwa..... Mpira una matoke haya kushindwa, kushinda na suluhu ubingwa mwisho wa ligi point saba ni chache sna mechi mbili tu !! Ulitegemea villareal angempunguza kasi barca?
😀 Eti point 7 ni chache sana....mkuu usijipe moyo ki-hivyo! ili mshinde mechi tatu mfululizo na kuvuka hizo point zetu 7 hapo baka anatakiwa asishinde hata mechi moja... ni kitu ambacho hakiwezekani hata kidogo kwa baka....
Instagram | Ramos
Leta ya kwako ya 2016 sasa hapa!!
Welcome thanks for your appreciation,HALLA MADRID.Win is win.....Hallaaa Madrid Halllaa!!!!......hongereni kwa ushindi.
Mkuu hao watu si wakujibizana nao., we wa ignore tu, hawana ishu.Huyu BlackPanther Ana funza kichwani.....Hala Madrid