Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Marcelo really needs to work on his positioning, last night was a disastrous performance by his standards he left so much space on the left flank that Ramos had to cover whole of the left side, we were so lucky that we didn't conceded.
Ninadhani Zidane aliona hiyo kitu ndio maana aliamua kumwanzisha Danilo badala ya Dani, ndio maana saa nyingine tunalalamika kua beki zetu sio huku mara nyingi tukizielekeza lawama zetu kwa centre backs zetu, ila ukweli ni kwamba wanazidiwa., so Jana Zidane alifanya maamuzi ya busara sana, plus Casemiro na yeye aliongeza ulinzi sana. Hata wakati wa Ancelloti, kwenye game za aina ya akina Roma na Atletico alikua anapenda kumwanzisha Fabio..,Marcelo really needs to work on his positioning, last night was a disastrous performance by his standards he left so much space on the left flank that Ramos had to cover whole of the left side, we were so lucky that we didn't conceded.
Ile stand ovation aliyopewa Totti jana pale Bernabeu nilijisikia kusisimka, he truly deserved that., jamaa ameitumikia Roma kwa mda mrefu kweli kweli..
Respect
Sioni sababu ya kumganda De gea mbele ya NazasKeylor Navas has endured eight Champions League games without conceding a single goal. The Real Madrid keeper becomes the first Champions League goalie to achieve such a feat in their first 720 minutes of the prestigious tournament.
hatumuuziiiii, undugu ushakufa long !!!!!!!! DDG Man U forever........best Mbona tena mnazomea zomea kinda yetu Huko?? Kunaniiii!!!!! .........missing u mpka naumwa.....lolDe Gea ni more of a political move, na nai-support. Navas anastahili kuwa Madrid, ila De Gea ndio future Spanish No. 1 & Captain. Tunahitaji more spanish power houses kama yeye.
Ile stand ovation aliyopewa Totti jana pale Bernabeu nilijisikia kusisimka, he truly deserved that., jamaa ameitumikia Roma kwa mda mrefu kweli kweli..
hatumuuziiiii, undugu ushakufa long !!!!!!!! DDG Man U forever........best Mbona tena mnazomea zomea kinda yetu Huko?? Kunaniiii!!!!! .........missing u mpka naumwa.....lol