Mkuu Lucas sio RM material, alizingua sana kipindi kile modric ni majeruhi, nadhani ndio kilichokua kimepelekea hadi Carlo kuanza kumpanga ramos kama mid,Fabio na Lucas ni wazuri wangebakizwa kutokea bench.
Mkuu Lucas sio RM material, alizingua sana kipindi kile modric ni majeruhi, nadhani ndio kilichokua kimepelekea hadi Carlo kuanza kumpanga ramos kama mid,
Wakati mwingine Perez anazingua sana haiwezekani auzwe Benzema afu anunuliwe Lewa huku Cr7 akibakishwa wakati hana msaada mkubwa sana kwa timu siku hizi.Si ndio hapo, kwenye ile BBC wakuuzwa ni Ronaldo. Mi nakwambia hatuwezi kuwa na forward line yenye akili mpaka yule aondoke. Anatuharibia game kibao halafu eti untouchable. Untouchable my ass bora aende tu tubadilishe game
Real Madrid has renewed RM Castilla striker, Borja Mayoral (18 yrs) contract till 2021 [Marca]
Lucas Silva has been dropped from Marseille's Europa League squad due to his poor performances this season.
[ @ BrazilStats]
What a waste of money, the guy can't fit even in Castilla Squad. Odegaard is ten times better Than him. Perez kadanganywa na maskauti wake akalipa Euro milioni kibao