Mkuu hakuna kilichochezwa jana Danilo na Isco walizingua sana asee hata hizo ni individual goals zote sio team kama team Ben10 amenikwaza sana jana na anaendelea kunipa wasiwasi
Mkuu hakuna kilichochezwa jana Danilo na Isco walizingua sana asee hata hizo ni individual goals zote sio team kama team Ben10 amenikwaza sana jana na anaendelea kunipa wasiwasi
Nimeangalia first 60 kwa usingizi, sikuona cha kushtua. Marcelo combined with CR for the first goal, ile ni team. Danilo alikuwa rusty kiaina cuz ndio ametoka kwenye majeruhi.
Wapewe muda tu. Team iko ok. We imagine hakuna James, Modric, Ramos, na Benzo, ila tumeshinda kiulaini.
J5 finally nitaweza kucheki game live. Itakuwa kipimo kizuri sana.
Navas anachokifanya ndo nilichotaka watu wengi wakione na wajue kuwa tulikuwa hatuna haja ya DDG kabisa na pale mbele tunahitaji striker mwenye calibre ya Benz kama Aguero au Suarez hivi