Benetez nilisema na ninarudia hii kazi ya Madrid ni a bridge too far-wachezaji are just going about like headless chickens-alaafu huyu Marcelo umri umeenda nini mbona kasi yake imepungua= We need Madrid ya ushindani and sio ya ku make up numbers
Wale mliokuwa mnamdhihaki don carlo kuwa hana plan B. I hope leo mmeangalia mechi. Kama timu ndiyo hii ya benitez inacheza kama inacheza "tobo bao", hakika tuna safari ndefu
Wale mliokuwa mnamdhihaki don carlo kuwa hana plan B. I hope leo mmeangalia mechi. Kama timu ndiyo hii ya benitez inacheza kama inacheza "tobo bao", hakika tuna safari ndefu
Huo msemo siujui naujua huu #halaaMadrid....... Hongera Kwa point moja si mbaya waswahili tunasema heri nusu Shari kuliko Shari kamili.....nakusalimu tu best yangu nimekumiss ile mbaya....
nilitegemea makubwa sana ila nikaumia sana kumaliza droo na timu iliyopanda daraja
benitez bado sana msimu uliopita mpaka tulichoka kwa record tulizovunja kila tuliposhinda
ila mwaka huu kazi tunayooo
Huo msemo siujui naujua huu #halaaMadrid....... Hongera Kwa point moja si mbaya waswahili tunasema heri nusu Shari kuliko Shari kamili.....nakusalimu tu best yangu nimekumiss ile mbaya....
Mara nyingi huwa inaunganishwa na huo, Hasta el final(Until the final)..Hala Madrid! Huo mwanzo binafsi japo sijaufurahia, haujanisumbua. 14 years down and straight to the core with Madrid, najua ku-deal na hizo situations sasa. Asante kwa kunipa moyo lakini.