Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #10,621
Hahahaha dah! Hilo swali ulivyoliuliza mzee.
Nilishindwa kucheki game yetu. Ikabidi nibaki kumuangalia kijana wetu Memphis Depay. Anakuja vizuri. Tumpe kama miaka miwili hivi.
Haha.. Basi Man u wakikumbuka hii tendency ya kutuandalia vifaa inawauma.
Nadhani hata Hazard next summer ni wetu.Ideal replacement ya CR7
Halafu wanasema Real Madrid haijali wachezaji wake, mi ninachoona sasa Arbeloa anabebwa tu kupewa heshima lakini kiwango hakuna tena. Jana dakika za mwisho tunaongoza bao 2 - 1, ikapigwa pasi ndefu yeye badala ya kuugonga mpira japo utoke yeye akawa anakimbizana na mtu, bahati tu man.