Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #10,481
Ule upande wa pili kimetokea mtu kapigwa na chuma kizito kichwani kiasi kwamba hajajua imekuwaje...lakini ukiangalia tatizo lao msimu huu ni kama lile la lipuli ya iringa kipindi cha kwanza inakupiga tano kipinid cha pili unaipiga kumi....ni wabovu sana nyuma pale,ukiangalia game zao za pre-s karibu zote wameruhusu magoli na hata majuzi wameshinda kwa idadi kubwa ya magoli maana yake ni kuwa ni timu inayofungika kiurahisi msimu huu...
Duuuuh!!! Mtani napita tu.....