Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,752
- Thread starter
-
- #9,561
Hivi kesi ya ku-remodel hii kitu imefikia wapi?
Serikali ya Ciudad de Madrid imeingilia kati, inaonekana jinsi walivyotaka kuuweka mjengo ni tofauti na city plan.
I know, ila tulikata rufaa kama sikosei, ndio nataka kujua imefikia wapi.