Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,653
Latest reports suggest that Benitez have asked for Juve's Llorente and Atletico's Mario Suarez! This will kill me, all this money in the club, but Llorente? Mario Suarez? Benitez ndugu yangu hii sio Napoli. You're in the best club in the world.
Relax mzee, hizo ni rumors tu. Utazisikia nyingi sana kipindi hiki. Ndio sababu mi nafikiria kuchukua likizo mitandaoni Copa America tu ikiisha, especially humu, ku-avoid hizi drama.
Lazima ufuatilie pre-season matches ( ziko 7). Real wanaingia kambini tarehe 10, after a week wanasafiri kwenda Australia.
Ofcourse, sitakosa game hata moja. Nita-avoid tu habari za usajili, so JF nitaipotezea pia kwa muda coz siwezi kuacha kupita humu. Twitter wale viherere nishawa-mute mpaka nimalize hiyo likizo.
Relax mzee, hizo ni rumors tu. Utazisikia nyingi sana kipindi hiki. Ndio sababu mi nafikiria kuchukua likizo mitandaoni Copa America tu ikiisha, especially humu, ku-avoid hizi drama.
I think that he did fine at espanyol but I didn't follow
Official Announcement : Lucas Vazquez
Usifanye hivyo ntakumiss......hakuna ligi yoyote ya basketball tuhamie huko?
Madrid nitashangaa kumpeleka Ramos EPL, Ramos ni mspain na ni mtu wa muhimu sana ndani ya Madrid na Spain inakuwaje aachiwe aondoke hapo. Mtaurudisha ule ufalme wa Barca kama zamani, yaani anabeba kombe bado mechi 8 mkononi. Tunataka ushindani mzito pale BBVA.
Na wanatafuta mabaksha au wanasagana, sio bure
hapo umekosea mkuuNdio huyo huyo mkuu, mwache apeperushe rainbow flag yake, wamepewa ruhusa na Obama.
I think that he did fine at espanyol but I didn't follow
Espanyol too much.My doubts are about
Jesé who will have even more competence
for that
position.Cris,Bale,Karim,Isco,Jesé,Lucas
Vazquez,James,maybe Odegaard +a striker
(As wrote about Llorente,hopefully
not),too many players for 4
positions,considering a 4-2-3-1 with
Modric and Kroos in the middle