While Real Madrid is on the mission to break another reacord. Raul will be presented as New York Cosmos player tonight at 10:00 PM PST. We wish him good luck. #EternalCaptain
We hope you're ready to welcome Raúl to New York tomorrow! #CosmosCountry - with Tere Wz.
Mechi i ya #UCL kati ya Real Madri na Ludogorets itakayochezwa Santiago Bernabeu leo itaanza saa 8:45 ( Saa tano kasorobo kwa saa za Afrika mashariki). Kwa wale ambao wanataka kuangalia mechi online leo link ambayo iko clear kabisa ni: http://www.soccer2all.net/index.php?channel=2
Samahani kidogo, Salamander ni mtu (shabiki) wa real madrid au taasisi, naona umetawala asilimia kubwa!! Lol! Untani tu huu usihofu, nafurahi jinsi unavyotupa updates nami nawafagilia hawa watu kwa kule Spain. Big up!

Salamander ni zaidi ya shabiki, mimi ni club member kabisa, halafu unajua watu wengi pamoja na media pia, macho yao yapo kwenye english football tu, kwahiyo hapa nafanya kama kuhamasisha kimtindo. Na wewe karibu jamvini pia,