Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #681
mpira umeanza santigo bernabeu kati ya real madrid na celta vigo kama huwezi kuona kwa tv link ambayo iko clear leo ni: http://trgoals.org/be2.html
game inakwenda dakika ya 15 lakini bado bila bila, kwa wanaotaka kuona game online, another clear link ni: http://www.firstsportstream.com/video.php?id=472
Dakika ya 65 Christiano Ronaldo anaweka goli la pili, Real Madrid 2 Celta Vigo 0.
Hili ni goli la 22 la Christiano Ronaldo kwenye La Liga.
ronaldo kafikisha magoli 200 laliga ktk mechi ngapi? msaada ndg....
Magoli 200 katika michezo 178.