Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Mar 13, 2025 #52,721 Mida hii ndio tunamhitaji brahim diaz awakinbize pale mbele
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,703 Reaction score 6,368 Mar 13, 2025 #52,722 Upigaji gani wa penalty huo, Bellingham yupo huyo Vini wa nini? Mbona Ancelloti anakuwa muoga hivyo?
Mpaji Mungu JF-Expert Member Joined Apr 24, 2023 Posts 15,747 Reaction score 50,145 Mar 13, 2025 #52,723 Wakuu Leo hali ngumu
Ntalukwilasa JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 989 Reaction score 1,281 Mar 13, 2025 #52,724 Hiyo penati itakiwa kupigwa na kijana wa Malkia ila vini amekurupuka
Aiylan wasalan JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,384 Reaction score 3,263 Mar 13, 2025 #52,725 Hiv vini ni mbarazil kwel?!
Aiylan wasalan JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,384 Reaction score 3,263 Mar 13, 2025 #52,726 Analalamika kama watanzania asee
Bachelor OG JF-Expert Member Joined Aug 27, 2022 Posts 1,196 Reaction score 1,464 Mar 13, 2025 #52,727 Ozone_ said: Kila unakoweka kambi lazima kuna watu watalia. Click to expand... Kama bundi vile
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,703 Reaction score 6,368 Mar 13, 2025 #52,728 FT: Atletico Madrid 1-0 Real Madrid
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,703 Reaction score 6,368 Mar 13, 2025 #52,729 Tunaenda extra time sasa, kwa udhamini wa Vinicius Jr
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Mar 13, 2025 #52,730 Hii game ilikua sare kabisa.... sasa huku tunakoenda ndio hua siangaliagi mpira kabisa..
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,703 Reaction score 6,368 Mar 13, 2025 #52,731 Mwenye utimamu wa mwili na akili hapa ndio atakayetoboa., maana wote wamechoka sasa.
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Mar 13, 2025 #52,732 Cesar Caspar said: Tunaenda extra time sasa, kwa udhamini wa Vinicius Jr Click to expand... Harafu namfatiliaga sana kwenye penalty hua hapigagi huko anapigaga kulia mwa golikipa. Leo sijui kakurupukaje aisee
Cesar Caspar said: Tunaenda extra time sasa, kwa udhamini wa Vinicius Jr Click to expand... Harafu namfatiliaga sana kwenye penalty hua hapigagi huko anapigaga kulia mwa golikipa. Leo sijui kakurupukaje aisee
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 21,027 Reaction score 46,854 Mar 13, 2025 #52,733 Raj kapool said: Hii game ilikua sare kabisa.... sasa huku tunakoenda ndio hua siangaliagi mpira kabisa.. Click to expand... Acha uoga
Raj kapool said: Hii game ilikua sare kabisa.... sasa huku tunakoenda ndio hua siangaliagi mpira kabisa.. Click to expand... Acha uoga
Aiylan wasalan JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,384 Reaction score 3,263 Mar 13, 2025 #52,734 Madrid apigwe tu asee
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 7,658 Reaction score 3,749 Mar 13, 2025 #52,735 okay
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,703 Reaction score 6,368 Mar 13, 2025 #52,736 Tunaenda dakika 15 za mwisho,. VamoooooosReal!!
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 8,217 Reaction score 16,089 Mar 13, 2025 #52,737 Wazee vipi leo naona kama tumekaliwa kooni sana na huyu dogo
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Mar 13, 2025 #52,738 Namna gani pale daah
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 11,924 Reaction score 36,852 Mar 13, 2025 #52,739 Madrid OUT
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Mar 13, 2025 #52,740 Camavinga kacheza akili sana leo.... Heko kwake