Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,614
- 2,732
Wamekandika.Tumewakanda
kocha kazingua sana kumuweka mendy angekua garcia asingeruhusu foden kudrible japo faulo imetokea nje ya penalty box , individual briliance ndo inamuokoaga ancelotti mzee chenga sana
Kuna watu hapa walikuwa wanaongea kwa emotions kabisa eti Garcia ni galasa.kocha kazingua sana kumuweka mendy angekua garcia asingeruhusu foden kudrible japo faulo imetokea nje ya penalty box , individual briliance ndo inamuokoaga ancelotti mzee chenga sana
Tukitoka hii hatua Carlo has to go.
Rodrygo hajaonekana kabisa leo.
kocha kazingua sana kumuweka mendy angekua garcia asingeruhusu foden kudrible japo faulo imetokea nje ya penalty box , individual briliance ndo inamuokoaga ancelotti mzee chenga sana
punguza mihemko kijana
Carlo anasepa mwisho wa msimu anyways na Rodyrgo jana hajaonekana those are facts.
Goli Zuri limepikwa kitimu kabisa.Mbappeee
Mimi camavinga hua simuelewagi hizi turn zake.Vini anakuwaga na ujinga sometimes, yuko ndani ya box eti anaacha mpira anakuja kuongea na refa