Raj kapool
JF-Expert Member
- Jun 29, 2018
- 1,558
- 2,603
Dirisha kubwa madrid wangempambania Martin zubimendi na Witz.hilo sio tatizo lake ni tatizo la timu kuwa na midifields ambao ni belowa standard. Tatizo anapocehza beki huku akiwa na mtu kama vasquez pemeni anakuwa anapata shida sana. Na pia pengo lake katikati tunapocehza na timu zinazo miliki vizuri mpira linakuwa ni kubwa sana kama vile Barca au City.
Dirisha kubwa madrid wangempambania Martin zubimendi na Witz.
Kisha wakatafuta beki mmoja wa kulia na beki mmoja kati, timu inaweza kukaa nadhani.
Hapana huu ni mtazamo wangu.mkuu kwahiyo mushakata tamaa kabisa na Jude? mana witz anakuja kumuondoa Jude pale unless akawahi kusafisha nyota west africa.
Hapana huu ni mtazamo wangu.
Na kuhusu kucheza inategemea na kocha ajae mfumo wake wanaweza kucheza wote.
Mbona kroos na modric walicheza pamoja.
Na vipi mtazamo wako kuhusu vin huyu dogo habadiriki.Kroos ni CM Modric ni AM, Luca ameanza kucheza chini karibuni tu under Carlo nahisi ni last season na hivo kwa kuwa anayo quality ya kuweza kuadopt ile position.
Na vipi mtazamo wako kuhusu vin huyu dogo habadiriki.
Pamoja na kupendwa na malegend kama cr7 na kukingiwa kifua na wabrazil wenzie ila wapi.
Vin anegekua mkimya kama Rodrigyo Angekua mchezaji hatari na pendwa sana duniani.
Shida nini kwa bwana mdogo, Saikorojia au ndio tabia ya kuzaliwa.
Binafsi Kuna mda natamani auzwee tu japo madrid wametumia muda kumtengeza kua icon wa club.
Ila matukio yake siku baada ya siku yanaharibu taswira yake na kwa club.
Nafatilia page za fabrizo hapa, inasrmekana kambi ya wanaomsimamia vin wamepiga chini offer ya mkataba mpya toka madrid...vini anasumbuliwa na matatizo ya akili, ni isue ya vijana wengi wa kibrazil na america kusini kiujumla. wamekulia katika mazingira ya ovyo. Kwa hatua aliofikia ni ngumu kukaa sawa.
Nafatilia page za fabrizo hapa, inasrmekana kambi ya wanaomsimamia vin wamepiga chini offer ya mkataba mpya toka madrid...
Wanataka mpunga zaidi, mashekhe wa Saudi washafika bei.
Tukipoteza hizp games zote 3 uefa ndio tutaikosa, kwa la liga lofote linaweza kutokea kakaKwa jinsi tunavyocheza huu msimu na especially last few games sioni tukishinda both games the Madrid derby na game against City. We might actually lose both games sadly. Tukipoteza hizi games ni almost tumemaliza msimu kapa maana a gaping hole will open kwenye mbio zetu za ubingwa. Hope I'm wrong but it's not looking good.
Yaani msmu huu tumekuwa hatuna afadhali kiukweli, yaani likitoka hili linakuja lile, ila ishu ya Ulinzi imetuathiri kikubwa sana., Acha baadae tuone Ancelotti atakuja na chaguo gani kwenye ulinzi.Kwa jinsi tunavyocheza huu msimu na especially last few games sioni tukishinda both games the Madrid derby na game against City. We might actually lose both games sadly. Tukipoteza hizi games ni almost tumemaliza msimu kapa maana a gaping hole will open kwenye mbio zetu za ubingwa. Hope I'm wrong but it's not looking good.
cha muhimu ni kuwa lazima Jude awe dropped, we can't afford to play with 4 forwards in big games, midfield yetu huzidiwa sana hubakiwa wawili wakaishia kunyanyasika. Ila kumueka bench Jude nalo ni jambo gumu sana kiamamuzi lakini bila ya hivyo litatigharimu sana.
Tchou na Lucas wasiwepo hata benchi.
sasa wacheza akina nani?kuwa logical mkuu
Wakianza tu hao tumeisha.
Binafsi naona Imani yake kwa wachezaji na kocha ndio inafanya mpaka sasa timu ipo hapo.Naitaji maoni kutoka kwenu Madridista,ipo hivi anachofanya president wetu aka FLORENTINO PEREZ kutosajili kwa namna yoyote ile haitii wasi kwenye performance ya timu au ndio ile anaamini kikosi chake kitampa matokeo chanya mda wowote?🤷🏿♂️