Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Jan 29, 2025 #52,241 Kikosi chetu, kiungo mkabaji mmoja tu kaanza. Wengine wote ni Attacking. Mzee kaipania sana hii mechi isije kumpalia. Attachments FB_IMG_1738177603004.jpg 113.9 KB · Views: 14
Kikosi chetu, kiungo mkabaji mmoja tu kaanza. Wengine wote ni Attacking. Mzee kaipania sana hii mechi isije kumpalia.
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,160 Reaction score 10,402 Jan 29, 2025 #52,242 Raj kapool said: Kikosi chetu, kiungo mkabaji mmoja tu kaanza. Wengine wote ni Attacking. Mzee kaipania sana hii mechi isije kumpalia. Click to expand... Ushindi muhimu leo
Raj kapool said: Kikosi chetu, kiungo mkabaji mmoja tu kaanza. Wengine wote ni Attacking. Mzee kaipania sana hii mechi isije kumpalia. Click to expand... Ushindi muhimu leo
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Jan 29, 2025 #52,243 Razorblade said: Ushindi muhimu leo Click to expand... Sawa sawa
Superficial JF-Expert Member Joined Nov 25, 2023 Posts 298 Reaction score 612 Jan 29, 2025 #52,244 Raj kapool said: Kikosi chetu, kiungo mkabaji mmoja tu kaanza. Wengine wote ni Attacking. Mzee kaipania sana hii mechi isije kumpalia. Click to expand... Nikiwaona lucas,mendy na tchouameni wakianza pamoja nakosa amani kabisa🙌.
Raj kapool said: Kikosi chetu, kiungo mkabaji mmoja tu kaanza. Wengine wote ni Attacking. Mzee kaipania sana hii mechi isije kumpalia. Click to expand... Nikiwaona lucas,mendy na tchouameni wakianza pamoja nakosa amani kabisa🙌.
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,795 Reaction score 55,572 Jan 29, 2025 #52,245 Hawa mashabiki wanachelewesha kufungwa na mimoshi yao
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,795 Reaction score 55,572 Jan 29, 2025 #52,246 Hawa mashabiki wanachelewesha kufungwa na mimoshi yao
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 4,018 Reaction score 10,466 Jan 29, 2025 #52,247 Rodrigo
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,160 Reaction score 10,402 Jan 30, 2025 #52,248 Edo kissy said: Rodrigo Click to expand... Kijana haimbwi sana ila kazi yake inaonekanaz hana makuu.
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Jan 30, 2025 #52,249 🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Man of the Match, Jude Bellingham. Attachments FB_IMG_1738189431907.jpg 43.1 KB · Views: 16
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 4,018 Reaction score 10,466 Jan 30, 2025 #52,250 Razorblade said: Kijana haimbwi sana ila kazi yake inaonekanaz hana makuu. Click to expand... Sana hana mamb meng
Razorblade said: Kijana haimbwi sana ila kazi yake inaonekanaz hana makuu. Click to expand... Sana hana mamb meng
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 Jan 31, 2025 #52,251
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,163 Reaction score 11,824 Jan 31, 2025 #52,252 UEFA lazima watakuwa wana lao tu, kwanini kila mwaka mechi hiyo hiyo inajirejea
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Jan 31, 2025 #52,253 Man city wa nataka kulipiza kisasi Madrid wa nataka kuingeza kisasi. Ni kisasi juu ya kisasi. Attachments FB_IMG_1738332920983.jpg 65.3 KB · Views: 16
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,160 Reaction score 10,402 Feb 1, 2025 #52,254 dos.2020 said: UEFA lazima watakuwa wana lao tu, kwanini kila mwaka mechi hiyo hiyo inajirejea Click to expand... Kwa miaka ya hivi karibuni city wameonekana kuwa na ushindani wanapokutana na madrid huenda hili limekaa kibiashara zaidi.
dos.2020 said: UEFA lazima watakuwa wana lao tu, kwanini kila mwaka mechi hiyo hiyo inajirejea Click to expand... Kwa miaka ya hivi karibuni city wameonekana kuwa na ushindani wanapokutana na madrid huenda hili limekaa kibiashara zaidi.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,163 Reaction score 11,824 Feb 1, 2025 #52,255 Razorblade said: Kwa miaka ya hivi karibuni city wameonekana kuwa na ushindani wanapokutana na madrid huenda hili limekaa kibiashara zaidi. Click to expand... ndio uhalisia, hiyo mechi imekuwa ndio mechi inayowalipa zaidi UEFA na washirika wao.
Razorblade said: Kwa miaka ya hivi karibuni city wameonekana kuwa na ushindani wanapokutana na madrid huenda hili limekaa kibiashara zaidi. Click to expand... ndio uhalisia, hiyo mechi imekuwa ndio mechi inayowalipa zaidi UEFA na washirika wao.
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Feb 1, 2025 #52,256 Kikosi cheque hiki hapa. Vini, Ceballos ndani Attachments FB_IMG_1738434722483.jpg 85.4 KB · Views: 14
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 Feb 1, 2025 #52,257 Raj kapool said: Kikosi cheque hiki hapa. Vini, Ceballos ndani Click to expand... Ancelloti na kijana wake Tchouameni kama kawaida., dogo Asencio ninaona kama yupo vizuri sana., ila acha tumwachie Mwalimu VamooooosReal!!
Raj kapool said: Kikosi cheque hiki hapa. Vini, Ceballos ndani Click to expand... Ancelloti na kijana wake Tchouameni kama kawaida., dogo Asencio ninaona kama yupo vizuri sana., ila acha tumwachie Mwalimu VamooooosReal!!
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 Feb 1, 2025 #52,258 Vazquez ndio nahodha leo
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 Feb 1, 2025 #52,259 Ninatamani Vinicius Jr afikie kilele chakecja ubora, huyi kijana anajua, sijui shida ni nini kutoboa
Raj kapool JF-Expert Member Joined Jun 29, 2018 Posts 1,558 Reaction score 2,603 Feb 2, 2025 #52,260 Rudiger nje, sijui atakaa mda gani ila ni bora aikose Atletco ya kina griezman na alvarez yule Asencio anaweza kukomaa nao kuliko Manchester City ya Halaand lile jini dawa yake Rudiger.
Rudiger nje, sijui atakaa mda gani ila ni bora aikose Atletco ya kina griezman na alvarez yule Asencio anaweza kukomaa nao kuliko Manchester City ya Halaand lile jini dawa yake Rudiger.