hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,497 Reaction score 12,073 Jan 12, 2025 #52,101 My wetu tunajipigia tu tunavyotaka.
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 Jan 12, 2025 #52,102 HAKUNAMATATA said: Sijaelewa kwanini tunacheza mipira mirefu wakati tuna midfilders na washambuliaji wazuri wa kumiliki mpira. Click to expand... Game dhidi ya Barcelona huwa zinamchanganya sana Ancelloti, huwezi kuelewa malengo yake ni yapi kutokana na aina mpira vijana wanaoucheza
HAKUNAMATATA said: Sijaelewa kwanini tunacheza mipira mirefu wakati tuna midfilders na washambuliaji wazuri wa kumiliki mpira. Click to expand... Game dhidi ya Barcelona huwa zinamchanganya sana Ancelloti, huwezi kuelewa malengo yake ni yapi kutokana na aina mpira vijana wanaoucheza
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 Jan 12, 2025 #52,103 Vazquez amekuwa mtu wa kunyanyasika sana kwenye hizi game
Edo kissy JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 4,019 Reaction score 10,468 Jan 12, 2025 #52,104 4 tayari
Razorblade JF-Expert Member Joined Aug 30, 2019 Posts 5,162 Reaction score 10,402 Jan 12, 2025 #52,105 Cesar Caspar said: Zile 4 ninaona zinajirudia tena Click to expand... Tayari tushakula chuma 4, fainal mbovu sana hii.
Cesar Caspar said: Zile 4 ninaona zinajirudia tena Click to expand... Tayari tushakula chuma 4, fainal mbovu sana hii.
hydroxo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2015 Posts 5,497 Reaction score 12,073 Jan 12, 2025 #52,106 My wetu huna baya. Unanipa tu najiwekea.
D dos.2020 JF-Expert Member Joined Feb 17, 2009 Posts 14,163 Reaction score 11,824 Jan 12, 2025 #52,107 HAKUNAMATATA said: Sijaelewa kwanini tunacheza mipira mirefu wakati tuna midfilders na washambuliaji wazuri wa kumiliki mpira. Click to expand... mkuu midfield wazuri wakumiliki mpira ni akina nani? Jude na Valverde? huko serious mkuu
HAKUNAMATATA said: Sijaelewa kwanini tunacheza mipira mirefu wakati tuna midfilders na washambuliaji wazuri wa kumiliki mpira. Click to expand... mkuu midfield wazuri wakumiliki mpira ni akina nani? Jude na Valverde? huko serious mkuu
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 13,213 Reaction score 20,988 Jan 12, 2025 #52,108 Cesar Caspar said: Zile 4 ninaona zinajirudia tena Click to expand... Tayar. Msimu huu Madrid ni kama vile ameshindwa kabisa mbinu ya kumfunga Barca
Cesar Caspar said: Zile 4 ninaona zinajirudia tena Click to expand... Tayar. Msimu huu Madrid ni kama vile ameshindwa kabisa mbinu ya kumfunga Barca
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 Jan 12, 2025 #52,109 HT: Real Madrid 1-4 Barcelona
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Jan 12, 2025 #52,110 Ukitaka kujua pengo la Ton Kroos ni hizi gemu zidi ya Barcelona
Lord Lofa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,512 Reaction score 2,752 Jan 12, 2025 #52,111 Mzee katupa mafanikio makubwa tunamheshimu ila alipofikia yeye ni Kama Mbowe tu, apumzike kutunza heshima yake tu
Mzee katupa mafanikio makubwa tunamheshimu ila alipofikia yeye ni Kama Mbowe tu, apumzike kutunza heshima yake tu
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Jan 12, 2025 #52,112 Mlikuwa mnasema Madrid akiona kombe tuu haliachi eeh🤣
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Jan 12, 2025 #52,113 Lord Lofa said: Mzee katupa mafanikio makubwa tunamheshimu ila alipofikia yeye ni Kama Mbowe tu, apumzike kutunza heshima yake tu Click to expand... Anachukua Uefa kama kawaida yake😃
Lord Lofa said: Mzee katupa mafanikio makubwa tunamheshimu ila alipofikia yeye ni Kama Mbowe tu, apumzike kutunza heshima yake tu Click to expand... Anachukua Uefa kama kawaida yake😃
C Cesar Caspar JF-Expert Member Joined Jul 31, 2015 Posts 3,706 Reaction score 6,373 Jan 12, 2025 #52,114 Marco Polo said: Tayar. Msimu huu Madrid ni kama vile ameshindwa kabisa mbinu ya kumfunga Barca Click to expand... Tuna wachezaji wa kufanya hilo jambo, shida ya Ancelloti amekuwa muoga sana akiwa anacheza dhidi ya Barcelona, sasa vijana wanadhurura tu uwanjani, hawashambulii wala hawakabi wala hawamiliki mpira, so unaweza kuona jinsi tulivyovurugwa.
Marco Polo said: Tayar. Msimu huu Madrid ni kama vile ameshindwa kabisa mbinu ya kumfunga Barca Click to expand... Tuna wachezaji wa kufanya hilo jambo, shida ya Ancelloti amekuwa muoga sana akiwa anacheza dhidi ya Barcelona, sasa vijana wanadhurura tu uwanjani, hawashambulii wala hawakabi wala hawamiliki mpira, so unaweza kuona jinsi tulivyovurugwa.
Lord Lofa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,512 Reaction score 2,752 Jan 12, 2025 #52,115 Marco Polo said: Tayar. Msimu huu Madrid ni kama vile ameshindwa kabisa mbinu ya kumfunga Barca Click to expand... Kwa aina ya midfielder tulionao na Mabeki hatuwawezi huo ndo ukweli
Marco Polo said: Tayar. Msimu huu Madrid ni kama vile ameshindwa kabisa mbinu ya kumfunga Barca Click to expand... Kwa aina ya midfielder tulionao na Mabeki hatuwawezi huo ndo ukweli
Aiylan wasalan JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,384 Reaction score 3,263 Jan 12, 2025 #52,116 Mnabakwaaa😂😂😂
M Mpalakugenda JF-Expert Member Joined Jun 2, 2015 Posts 4,649 Reaction score 5,074 Jan 12, 2025 #52,117 Shida wanapishana sana na hawa madogo.
Lord Lofa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2011 Posts 2,512 Reaction score 2,752 Jan 12, 2025 #52,118 Selikavu said: Anachukua Uefa kama kawaida yake😃 Click to expand... Hamna ndugu yangu tusidanganyane hii timu msimu huu spana mkononi sana
Selikavu said: Anachukua Uefa kama kawaida yake😃 Click to expand... Hamna ndugu yangu tusidanganyane hii timu msimu huu spana mkononi sana
ukikaidi utapigwa2 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2015 Posts 16,286 Reaction score 31,682 Jan 12, 2025 #52,119 Leo tumeyakanyaga
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 12,415 Reaction score 27,296 Jan 12, 2025 #52,120 Lord Lofa said: Hamna ndugu yangu tusidanganyane hii timu msimu huu spana mkononi sana Click to expand... Beki hamna mjue Barcelona wapo full
Lord Lofa said: Hamna ndugu yangu tusidanganyane hii timu msimu huu spana mkononi sana Click to expand... Beki hamna mjue Barcelona wapo full