Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,706
- 6,373
Mashabiki wa Atletico walikuwa na kazi ya kurusha makopo na viberiti vya gasi golini kwa Courtoiskisa ni nini?
Atletico ndo tabia yao sijui hawakui hawa jamaaaakisa ni nini?
Leo walikuwa na campaign against Vinicius, ila vizuri Vinicius lei amekuwa mtulivu kweli kweliAtletico ndo tabia yao sijui hawakui hawa jamaaaa
machizi soka hao, hiyo timu ilipaswa iwe ya Uturuki😂Mashabiki wa Atletico walikuwa na kazi ya kurusha makopo na viberiti vya gasi golini kwa Courtois
Wapo kama waarabu wa middle eastAtletico ndo tabia yao sijui hawakui hawa jamaaaa
Kama msimu uliopita, jamaa walitufunga dakika za jioniDoh!maninaaa...dakika za jiooooni kabisa tunashindwa kubana...
Halafu huyu jamaa hakuna msimu timu yake ipo kiboya boya. Ana watu haswa.Simeone anafundisha mpira mzuri sana, pasi za haraka haraka, timu inaflow paka unaenjoy
Dogo ana miaka 17 ila ana Ego balaa ,Don kashindwa kumaliza game leo halafu anapaswa kukaa chini azungumze na huyu endrick asitafute jina kwa lazima.
Kabisa kama ile nafasi ambayo aliamua kupiga mwenyewe ule ni upuuzi wakati jude alikuwa kafungua upande wa kushoto, hata siku ya kwanza aliposhinda kwenye hali kama ile nilifurahia goli lakini sikufurahia ule uamuzi maana tayari wengine walikuwa wamefungua pande zote lakini akaamua kufanya vile na kwa upande wa game ya jana ilikuwa ni game ya maamuzi akarudia tena vilevile.Dogo ana miaka 17 ila ana Ego balaa ,
Bellingham, Vinicious Jr, Mbape na Endrick Hawa wachezaji Anceloti kazi anayo maana Kila mmoja anapenda sifa
Kabisa kama ile nafasi ambayo aliamua kupiga mwenyewe ule ni upuuzi wakati jude alikuwa kafungua upande wa kushoto, hata siku ya kwanza aliposhinda kwenye hali kama ile nilifurahia goli lakini sikufurahia ule uamuzi maana tayari wengine walikuwa wamefungua pande zote lakini akaamua kufanya vile na kwa upande wa game ya jana ilikuwa ni game ya maamuzi akarudia tena vilevile.
Wanalewa sifa hawa msimu huu kazi inaweza kuwa ngumu aisee.