Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

UEFA CHAMPIONS LIGUE

Naam hiki ni Kikosi cha Real Madrid C.F. dhidi ya VFB Stuttgart.

Mzee wa fitna Dani Carvajal anakanyaga beki ya Kati leo.

Tchouameni, Bellingham na Lucas Vascuez wote ndani.

Tushachagua wenyewe wajerumani hua hatuziki tunawasafirisha.

Halla Madrid.
 

Attachments

  • FB_IMG_1726597014675.jpg
    82 KB · Views: 12
HT: Tuna kasi,tuna malengo ila hatuna mbinu,wachezaji wa eneo la ushambuliaji hawaaminiani,sehemu za mtu kutoa pass anataka apige yeye wakat yupo kwenye nafasi mbaya,sehemu yakuendeleza kasi mtu anapoozesha mpira..kimsingi hili ni tatizo la kocha kushindwa kutengeneza mifumo au mfumo wakutengeza nafasi..kwa mwendo huu siyo ajabu timu ikawa inaendelea kupata ushindi mwembamba au wakutegemea penalt(s)..na kwa namna hii sion kama Christmass ikimkutana babu carlo pale.
 
Afu timu ambazo zinakuja kuwafunga hao wakamiaji ni za kawaida sana,we tulia uone game ijayo Stuttgart atakavyokalishwa

Mkuu kuna msimu tulipigwa na timu ya kuitwa Sherif, sujui ya wapi ile! Kwanza timu yoyote ikipangwa na Real Madrid, iwe Champions league au Copa del Rey wachezaji wanashangilia. Ile kucheza ndani ya Santiago Bernabeu ni historia, ndio maana wanachukua selfies kama wapo kwenye fiesta. Ndio maana kuchukua makombe timu yetu inatakiwa iwe na kikosi cha wachezaji, sio first eleven kama Yanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…