Cancelo mtu wa maana sana anapiga kushoto na kulia bila tatizo lolote shida yake nidhamu tukwanini wasende na Cancelo? city wanataka 35 - 40 tu. akipata utulivu jamaa ni hatari sana
Cancelo mtu wa maana sana anapiga kushoto na kulia bila tatizo lolote shida yake nidhamu tu
Ni sahihi piakwanini wasende na Cancelo? city wanataka 35 - 40 tu. akipata utulivu jamaa ni hatari sana
Theo pia yupo hapo Milan kazi anaijua sanakwanini wasende na Cancelo? city wanataka 35 - 40 tu. akipata utulivu jamaa ni hatari sana
Hakim psg pale anshangaa Tu 😆Theo pia yupo hapo Milan kazi anaijua sana
BBC walitupa 1 Spanish Super Cup, 3 UEFA Super Cups, 3 FIFA Club World Cups , 1 La Liga Trophy and 4 Champions League trophies.
Theo pia yupo hapo Milan kazi anaijua sana
Hakim psg pale anshangaa Tu 😆
Hakim na Theo wote walikuwa vijana wetu, Hakimi ndio kabisa zao letu, ila sasa hawa wote waliuzwa kwa ajili ya kuwalinda Marcelo na Carvajal kipindi kile., Theo hawezi kurudi ila Hakimi anaweza.Hakim psg pale anshangaa Tu 😆
Basi watuletee Demarco wa Inter MilanHakim na Theo wote walikuwa vijana wetu, Hakimi ndio kabisa zao letu, ila sasa hawa wote waliuzwa kwa ajili ya kuwalinda Marcelo na Carvajal kipindi kile., Theo hawezi kurudi ila Hakimi anaweza.
Basi watuletee Demarco wa Inter Milan
Hivi mkuu mbona Perez hua mjanja sana kwenye biashara hasa kwenye kuwatoa Wachezaji Kwa mkopo au kuwauza.Hakim na Theo wote walikuwa vijana wetu, Hakimi ndio kabisa zao letu, ila sasa hawa wote waliuzwa kwa ajili ya kuwalinda Marcelo na Carvajal kipindi kile., Theo hawezi kurudi ila Hakimi anaweza.
Hawa walienda na wakarudi wote, ila sasa kwa upande wa Odegaard mambo hayakuenda sawia na matarajio yake ndio akaomba kuuzwa, Perez akamuuza mazima halafu tukaenda kumchukua Camavinga.Hivi mkuu mbona Perez hua mjanja sana kwenye biashara hasa kwenye kuwatoa Wachezaji Kwa mkopo au kuwauza.
Ila nashangaa Kwa Martin Odegaard ilikuaje kaenda Arsenal moja Kwa moja huku Dani Ceballos akirudi.
Hivi mkuu mbona Perez hua mjanja sana kwenye biashara hasa kwenye kuwatoa Wachezaji Kwa mkopo au kuwauza.
Ila nashangaa Kwa Martin Odegaard ilikuaje kaenda Arsenal moja Kwa moja huku Dani Ceballos akirudi.
Huyu jamaa baada ya ucl final nilijuwa utaenda mazima. Umerudi tena????Injury free Pedri is 10x better than Jude Tappingham
Mkuu mpira inachezwa uwanjani, mpira ni mchezo wa makosa. Unamkumbuka Madrid ya Figo, Zidane, Bekham, Ronaldo, Carlos, Raul, n.k....Unaumwa wewe. Yaani I can't wait for the new season to start. Hilo balaa la hapo juu liache. Real Madrid imebeba makombe bila clinical number 9, sasa kaongezwa finisher, Mbappe huyo Guadiola tayari ashajua yuko out of Champions league kabla haijaanza.
Madrid hiyo ilijaza ma staa ambao hawakua na muunganiko, wengi wao sifa zilikua zinafanana kwahyoMkuu mpira inachezwa uwanjani, mpira ni mchezo wa makosa. Unamkumbuka Madrid ya Figo, Zidane, Bekham, Ronaldo, Carlos, Raul, n.k....
Mpira ina matokeo ya ajabu sana, ila sisi mashabiki wa mpira tunapenda burudani.